HABARI

Baina ya mkandarasi na kandarasi – 2

Nimetangulia kusema kwamba hayo niliyoyaeleza kabla hayakuwa yamenishughulisha sana kwa sababu, mtu aweza kuwa na hiari ya kutumia maneno kandarasi/makandarasi au mkandarasi/wakandarasi, akusudiapo kuwa ni mtu. (Mimi nitaendelea kutumia kandarasi/makandarasi - tena bila ya wasiwasi wowote!) Lakini yaliyonishughulisha, na hata kwa kiasi fulani kunishtua, ni hii kauli, na amri, ya Dkt. Chipila: "…Tunapokutana kwenye hadhara… Continue reading Baina ya mkandarasi na kandarasi – 2

LUGHA

Baina ya mkandarasi na kandarasi

Mmojawapo miongoni mwa washairi maarufu wa Tanzania, Khamis Amani Nyamaume (1926-1971), katika shairi lake labeti nne, liitwalo ‘Saa’, alitunga akasema: Saa za huku na huko, zimekosana majira Sababu ni mzunguko, haufuati duara Sasa rai iliyoko, ni kubadilisha dira Saa zatupa majira, mafundi zitengezeni… Mafundi zitengezeni, hasa saa za minara Na zetu za ukutani, zipate mwenendo… Continue reading Baina ya mkandarasi na kandarasi