HABARI

Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo 24 Mei 2017 

Leo ndiyo siku ambayo Rais John Magufuli anatazamiwa kupokea kile kiitwacho "Ripoti ya mchanga wa dhahabu", huku bunge likiambiwa utalii umeongezeka maradufu ndani ya kipindi cha mwaka mmoja uliopita na mapato yake kuongezeka hadi trilioni 5, wakati ndugu wa Marehemu Salum Mohammed Bin Almasi aliyeuawa wiki mbili zilizopita na polisi kwa madai ya ujambazi wakiendelea… Continue reading Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo 24 Mei 2017