JAMII

Wazanzibari wapaswa kuyaelewa maradhi ya moyo

Upo msemo wa Kiswahili usemao "Ukitaka kumuua paka anza kwa kumpa jina baya", ambao huelezea namna watu wanavyoharamisha au kuhalalisha jambo kwa kuanza na kukivunjia hadhi yake. Wagonjwa wa maradhi ya moyo hasa watoto hapa Zanzibar nao hukutwa na kadhia hii. Baadhi ya watu kwenye jamii yetu huyatazama maradhi yenyewe¬† kama¬† laana au kuyafananisha na… Continue reading Wazanzibari wapaswa kuyaelewa maradhi ya moyo