SIASA

Chini ya muundo huu wa Muungano, michezo ya Z’bar haisongi mbele – Ally Saleh

Mwanamichezo wa siku nyingi ambaye ni mwanasiasa, mshairi na mwandishi wa habari, Ally Saleh, anasema kuwa muundo wa Muungano uliopo unairejesha nyuma Zanzibar kwenye eneo la michezo, ambalo japokuwa si miongoni mwa mambo ya Muungano, linaikosesha kufaidika na vipaji vyake kimataifa. https://www.youtube.com/watch?v=FiYxSjH2LO8

HABARI

Wabunge CUF kwenda mahakamani kuhusu FIFA

Wabunge wanaowakilisha Chama cha Wananchi (CUF) bungeni wanasema kwamba watakwenda mahakamani kusaka majawabu juu ya masuala kadhaa ya michezo, likiwemo la "uhalali wa kikatiba wa Shirikisho la Soka la Tanzania Bara (TFF)" na "tafsiri wa Waziri wa Michezo wa Tanzania Bara kutumika kama ni Waziri wa Muungano ndani ya nchi na nje ya nchi." ┬áZaidi… Continue reading Wabunge CUF kwenda mahakamani kuhusu FIFA

KALAMU YA GHASSANI

La uwanachama wa CAF, Zanzibar na udhaifu wa ndani

Makala hii inazungumzia kadhia ya Zanzibar kuondolewa kwenye uwanachama wake iliokaa nao siku 128 katika Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) kwa kugusia mule makala iliyotangulia ilimopitia, yaani "Siasa za Muungano kuelekea Zanzibar", lakini kwa hoja kuwa siasa hizo za Muungano zinafanikishwa na uadui mkubwa uliomo ndani ya Zanzibar yenyewe. Nitapiga mfano wa namna ambavyo… Continue reading La uwanachama wa CAF, Zanzibar na udhaifu wa ndani