HABARI

Zaidi ya Watanzania 380 watajwa ‘kupotezwa’ kusini

Juni 12, 2017 mchana, Bi Ziada Salum wa Kitongoji cha Maparoni wilayani Kibiti alikuwa nyumbani kwake akipika chakula cha familia yake, wakati ambao Jeshi la Polisi lilifika na kumchukua kwaajili ya kwenda kumhoji. Ni miezi 11 leo tangu bi Ziada Salum achukuliwe, hajarudishwa mpaka leo, familia yake haijaarifiwa chochote, bado imekaa na matarijio kuwa ipo… Continue reading Zaidi ya Watanzania 380 watajwa ‘kupotezwa’ kusini

HABARI

Zitto ataka bunge kuchunguza mauaji ya Kibiti

Wakati hali ya wasiwasi ikizidi kuendelea kwenye wilaya za Kilwa, Mkuranga, Kibiti na Rufiji, ambako mauaji ya kunyemelea yameshaangamiza maisha ya watu wapatao 30, wakiwemo wenyeviti 20 wa serikali za vijiji na mitaa, Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, ametoa wito wa kutumwa kwa Kamati ya Usalama ya Bunge kuchunguza mauaji hayo. Akiandika kwenye ukurasa… Continue reading Zitto ataka bunge kuchunguza mauaji ya Kibiti