Pius Msekwa
HABARI

Msekwa, Mwalimu Nyerere siye muanzilishi wa harakati za siasa Tanganyika

"Mwalimu Nyerere alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuridhisha watu kwa nguvu ya hoja zake (power of persuasion). Uwezo huo ndio uliomsaidia kupata mafanikio makubwa katika malengo yake ya kisiasa. Uwezo huo unajidhihirisha katika matukio yafuatayo: Kwanza, ni pale alipofanikiwa kuwaridhisha kwa nguvu ya hoja zake, wanachama wa Asasi ya Kijamii ya kupigania maslahi ya… Continue reading Msekwa, Mwalimu Nyerere siye muanzilishi wa harakati za siasa Tanganyika

MCHAMBUZI MAALUM

Kwa la Zanzibar, Rais Magufuli hawezi kujifanya hahusiki

Makala ya Mheshimiwa Pius Msekwa, Spika wa zamani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na hapana shaka kada mkubwa wa Chama tawala cha Mapinduzi (CCM), iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii katika siku za hivi karibuni inatoa wito wa kuwepo mjadala wa wazi juu ya madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania… Continue reading Kwa la Zanzibar, Rais Magufuli hawezi kujifanya hahusiki