MCHAMBUZI MAALUM

Hakuna mdharau ukweli aliyewahi kubakia salama

Ndugu zangu, nimeona tamko la Wizara ya Mambo ya Nje likieleza kuwa Balozi mbalimbali za Ulaya na Marekani ambazo hivi karibuni zimetoa kauli ya kukosoa mwenendo wa Serikali "hazijui hali halisi ya usalama wa nchi". Kauli hii imenishangaza mno! Nchi yetu imekuwa na tabia ya kijinga sana, kwamba serikali inaamini kuwa wao ndiyo wana hati… Continue reading Hakuna mdharau ukweli aliyewahi kubakia salama

HABARI

CUF yazitangaza NEC, ZEC maadui wa taifa

Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro, amesema kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na ile ya Zanzibar (ZEC) ndio maadui wakubwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akitabiri kwamba katika siku zijazo taasisi hizo zenye dhamana ya kusimamia uchaguzi zitaiingiza nchi kwenye maafa makubwa. https://www.youtube.com/watch?v=Xsl4pA7EzMU&t=5s