UTAMADUNI

Huku mkwamo wa kisiasa ukiendelea Z’bar, CUF yageukia soka

Wakati bado Chama cha Wananchi (CUF) kikiendelea kuamini kuwa mgogoro wa kisiasa uliotokana na uchaguzi wa Oktoba 2015 haujesha, sasa chama hicho kikongwe visiwani Zanzibar kimegeukia kwenye mchezo wa soka kwa kuanzisha ligi ya wilaya, ambayo imezinduliwa leo na Naibu Katibu Mkuu, Nassor Mazrui, kwa mechi kati ya timu za Wilaya ya Kati na Wilaya… Continue reading Huku mkwamo wa kisiasa ukiendelea Z’bar, CUF yageukia soka

Nassor Mazrui
HABARI

CUF yatoa kauli rasmi ziara ya Lipumba kisiwani Pemba

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Nassor Ahmed Mazrui, kimeikanusha vikali barua iliyotolewa na jeshi la polisi mkoa wa kusini Pemba, likidai kupokea barua ya CUF kuridhia kufanyika kwa kongamano kwenye ukumbi wa Makonyo, Chake Chake kisiwani Pemba hapo kesho (Jumamosi, 24 Februari 2018).   Hii hapa chini ndiyo taarifa rasmi ya CUF… Continue reading CUF yatoa kauli rasmi ziara ya Lipumba kisiwani Pemba

HABARI

Hatumtambui Shein – CUF

Hatutambui hicho kinachoitwa matokeo ya uchaguzi wa marudio wa tarehe 20 Machi, 2016 na kwa maana hiyo hatumtambui huyo aliyedaiwa kuwa mshindi na kwa msingi huo huo hatutoitambua wala kushirikiana na Serikali itakayoundwa kutokana na matokeo hayo batili ya uchaguzi batili. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kufuatia ubakaji wa demokrasia kupitia kile kilichoitwa uchaguzi wa… Continue reading Hatumtambui Shein – CUF

Nassor Ahmed Mazrui
HABARI

Mazrui aachiwa kwa dhamana

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) visiwani Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui, ambaye alikuwa ameitwa na jeshi la polisi asubuhi ya leo (Machi 3), ameachiwa kwa dhamana baada ya kuhojiwa kwa kile polisi inachosema ni "kauli za uchochezi." Mazrui, ambaye alifika makao makuu ya jeshi hilo saa 2:00 asubuhi akiambatana na wakili wake, ndiye… Continue reading Mazrui aachiwa kwa dhamana