KALAMU YA GHASSANI

Kwaheri Maalim Suleiman Shkeli wa Pandani

Mauti ewe mauti, ukija kama hujaja Huwa waja katikati, ya maisha yetu waja Katikati ya wakati, na kati ya zetu haja Na hata tukikutaja, wewe khabari hupati Nimepokea habari ya Kaka yangu, Mzee wangu, Muhisani wangu, Sheikh Sulaiman Al Shukaili, kuitikia wito wa Aitaye akalazimika kuitikwa. Asubuhi hii karudi kwa Mola wake. Allah Ampokee ilhali… Continue reading Kwaheri Maalim Suleiman Shkeli wa Pandani

HABARI

Maalim Seif, mtu aliyekuwa na daima atakayekuwa

Picha inayosawiri makala hii niliipiga tarehe 24 Julai 2010, nje ya msikiti wa Ijtimai, Fuoni, magharibi ya kisiwa cha Unguja. Angalia huyo mtoto mkono wa kushoto ambaye anawania kumpa mkono Maalim Seif Sharif Hamad. Nakisia kuwa wakati huo alikuwa na miaka 12 au 13, umri ambao anao mtoto wangu wa kwanza hivi sasa. Kwa hivyo,… Continue reading Maalim Seif, mtu aliyekuwa na daima atakayekuwa