Adi afafanua kile hasa kilichotokea kesi ya Muungano EACJ

Published on :

Kiongozi wa Wazanzibari 40,000 waliofungua kesi ya kuhoji uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwenye Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ), Rashid Salum Adi, amefafanua kwa kina kile hasa kilichotokea jana kwenye mahakama hiyo mjini Arusha, wakati kesi yao ilipotajwa kwa mara ya kwanza kabisa kwa kutanguliza ombi […]

Mahakama ya Afrika Mashariki yaliondoa ombi la kesi ya Muungano

Published on :

Majaji katika Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki mjini Arusha wameliondoa ombi la walalamikaji wa kesi inayopinga uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kutaka, pamoja na mengine, kesi hiyo isikilizwe hiyo visiwani Zanzibar kutokana na mapungufu yaliyojitokeza kwenye uwasilishwaji wake. Akizungumza kwa njia ya simu na Zaima Media akiwa […]

Kesi ya kupinga Muungano kuanza kesho Arusha

Published on :

Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) imeanza kusikiliza kesi zilizofunguliwa na watu binafsi pamoja na mashirika mbalimbali dhidi ya nchi wanachama wa jumuiya na zinatarajiwa kuuanza kusikilizwa hadi Machi 29 mwaka huu. Kati ya kesi zinazotarajiwa kuvuta hisia za wengi ni kesi namba 7 ya mwaka 2017 iliyofunguliwa na Rashid Salum […]

Wazanzibari ‘wanaoushitaki’ Muungano wahofia maisha yao

Published on :

Kiongozi wa kundi la Wazanzibari 40,000 waliofunguwa kesi kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki kuhoji uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rashid Salum Adi, anasema anakhofia usalama wa maisha yake na sasa ameuomba Umoja wa Mataifa kumpa ulinzi yeye na viongozi wenzake ili waweze kushiriki kikamilifu kwenye kesi hiyo. Katika […]

Wazanzibari 40,000 waushitaki Muungano

Published on :

Jumla ya Wazanzibari 40,000 wamesaini waraka wa kumshitaki Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar pamoja na mamlaka nyengine, wakipinga uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa madai ya kutokuwa na maslahi kwa upande wa Zanzibar. Kesi yao imewasilishwa kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki na imepangiwa kusikilizwa mapema mwezi Machi 2018. Msikilize […]