Hiki ndicho unachotakiwa kufanya ukiota ndoto za majini ya kichawi

Published on :

Je, ndoto za vitisho au vitimbi unazoota usingizini zinaweza kuwa na athari kwenye maisha yako? Kwenye sehemu hii ya mfululizo wa makala za Nuru ya Tiba, Sheikh Sultan Al Mendhry anasema jawabu ni ndiyo, kwa kuwa nyengine huwa ndoto za majini ya kichawi, na anakufahamisha namna ya kujitibu mara moja […]

Kwa nini hupaswi kutumia ushirikina hata unapodhurika kwa ushirikina?

Published on :

Katika sehemu hii ya mfululizo wa makala za tiba, leo Sheikh Sultan Al Mendhry anakuelezea sababu muhimu za kuepuka kutumia matibabu yanayomshirikisha Mwenyezi Mungu hata pale ambapo umegunduwa kwamba umesibika na matatizo ya kishirikina. Endelea kumfuatilia.

Majini wasilimishwa Zanzibar

Published on :

Katika sehemu hii ya mfululizo wa makala za tiba, mbali ya kuendelea kuchambua mambo yanayoweza kupelekea mtu kukumbwa na hasad, Sheikh Sultan Al Mindhry anasimulia nafasi ya toba na kisa cha yeye kuwasilimisha majini waliomwendea kukiri makosa yao na kutaka kurejea kwa Mungu. ANGALIA VIDIO: Neema zinazoweza kukusababishia ufanyiwe hasad