
Maalim Seif asema serikali ya Shein haipo kikatiba na itaondoka
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema serikali ya Zanzibar inayoongozwa sasa na Dk. Ali Mohamed Shein haipo kikatiba na kwamba lazima itaondoka. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Endelea