Huku mkwamo wa kisiasa ukiendelea Z’bar, CUF yageukia soka

Published on :

Wakati bado Chama cha Wananchi (CUF) kikiendelea kuamini kuwa mgogoro wa kisiasa uliotokana na uchaguzi wa Oktoba 2015 haujesha, sasa chama hicho kikongwe visiwani Zanzibar kimegeukia kwenye mchezo wa soka kwa kuanzisha ligi ya wilaya, ambayo imezinduliwa leo na Naibu Katibu Mkuu, Nassor Mazrui, kwa mechi kati ya timu za […]

FIFA haina hoja kuinyima Zanzibar uanachama – Alberto

Published on :

Imeelezwa kuwa hoja ya Shirikisho la Soka la Ulimwengu (FIFA) kuwa haliwezi kuipa uwanachama Zanzibar kwa kuwa si mwanachama wa Umoja wa Mataifa haina mashiko kwa kuwa FIFA ina wanachama wengi zaidi kuliko wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na hiyo ikimaanisha kuwa ndani ya FIFA muna nchi […]

Mbunge wa Malindi amlima barua Infantino wa FIFA

Published on :

Mbunge wa jimbo la Malindi, mwandishi wa habari na mwanamichezo, Ally Saleh, amemuandikia barua ya wazi Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, siku chache kabla ya kiongozi huyo wa soka ulimwenguni kuwasili kwa ziara maalum nchini Tanzania. Kujuwa yaliyomo kwenye barua hiyo, soma hapa.

La uwanachama wa CAF, Zanzibar na udhaifu wa ndani

Published on :

Makala hii inazungumzia kadhia ya Zanzibar kuondolewa kwenye uwanachama wake iliokaa nao siku 128 katika Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) kwa kugusia mule makala iliyotangulia ilimopitia, yaani “Siasa za Muungano kuelekea Zanzibar”, lakini kwa hoja kuwa siasa hizo za Muungano zinafanikishwa na uadui mkubwa uliomo ndani ya Zanzibar yenyewe. […]

La Zanzibar kufukuzwa CAF, tuangalie tulipojikwaa

Published on :

Ijumaa ya tarehe 21 Julai 2017 itachukuwa muda mrefu kwangu kusahaulika. Kwenye ukurasa wa Facebook, mtumiaji mmoja alikuwa ametuma taarifa iliyoandikwa na dawati la michezo la mtandao wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kuhusu nchi yangu, Zanzibar, kuvuliwa uwanachama wake iliokuwa imeupata siku 128 hapo kabla kwenye Shirikisho la […]