MCHAMBUZI MAALUM

Muungano unalindwa kwa nguvu

RAIS Ahmed Abdallah wa Comoro aliyeuliwa Novemba 26, 1989 na askari wa kizungu aliowakodi mwenyewe, anakumbukwa kwa mengi.¬†¬†Kuna wanaomuona kuwa shujaa kwa kuthubutu kuikabili Ufaransa na kutangaza kuwa Comoro ni taifa huru Julai 6, 1975. Wapo pia wanaomlaumu kwa kuwa sababu ya kumeguka kwa kisiwa chane cha Mayotte ambacho hadi leo kimo mikononi mwa Ufaransa.… Continue reading Muungano unalindwa kwa nguvu

MCHAMBUZI MAALUM, SIASA

Nyerere hakuwa na insafu juu ya Muungano

MARA ya mwanzo kabisa kukutana na Mwalimu Julius Nyerere, uso na macho, ilikuwa 1968 jijini London ndani ya ukumbi mmoja wa hoteli iitwayo Hyde Park Hotel.  Hoteli hiyo iko mkabala wa uwanja wa Hyde Park na iko mwendo wa dakika chache kutoka Hertford Street ulipokuwako siku hizo ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza. Sikumbuki iwapo Nyerere alikuwa… Continue reading Nyerere hakuwa na insafu juu ya Muungano

SIASA

SMT haiwezi kukubali Akaunti ya Fedha ya Muungano hata siku moja – Juma Duni

Wakati wabunge wa upinzani kutoka Zanzibar wakiendelea kushikilia ulazima wa kuheshimiwa kwa matakwa ya kikatiba ya kuundwa haraka kwa Akaunti ya Pamoja ya Fedha baina ya Tanzania Bara (Tanganyika) na Zanzibar, mtaalamu wa uchumi na fedha na waziri wa zamani kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar, Juma Duni Haji, amesema Serikali ya Jamhuri… Continue reading SMT haiwezi kukubali Akaunti ya Fedha ya Muungano hata siku moja – Juma Duni

MCHAMBUZI MAALUM, SIASA

Kinachoidhuru zaidi Zanzibar ni Wazanzibari wenyewe – Othman Masoud

Mwanasheria mkuu wa zamani wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amesema kwamba licha ya Wazanzibari kuamini kuwa nchi yao inatawaliwa na Tanganyika na kwamba haitendewi haki kwenye Muungano, ukweli ni kuwa tatizo kubwa zaidi limo miongoni mwa Wazanzibari wenyewe, hasa wale waliokabidhiwa madaraka ambao wanaweka mbele maslahi ya vyeo kuliko ya taifa lao la Zanzibar, ingawa… Continue reading Kinachoidhuru zaidi Zanzibar ni Wazanzibari wenyewe – Othman Masoud

MCHAMBUZI MAALUM, SIASA

Zanzibar haishiriki wala haishirikishwi sera, sheria za Muungano

Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amesema kwamba muundo wa Muungano ulivyo na unavyotekelezwa unaitenga kando Zanzibar kwenye utungaji wa sera na sheria zinazousimamia Muungano wenyewe, hali ambayo inaiweka Zanzibar kwenye nafasi inayofanana sana na koloni au mahamiya. https://www.youtube.com/watch?v=o4rWtvyot-g