HABARI

Baada ya kukung’utwa na madiwani wa Dar, sasa Lipumba atemwa na kanda 6 Bara 

Wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) wa kanda sita za Tanzania Bara wameungana na madiwani 19 wa jiji kuu la kibiashara na kiuchumi, Dar es Salaam, kumkana mwenyekiti wa zamani wa chama chao, Profesa Ibrahim Lipumba, kwa madai yale yale ya kutumiliwa na kukisaliti chama hicho, ambacho ni sehemu muhimu ya Umoja wa Katiba ya… Continue reading Baada ya kukung’utwa na madiwani wa Dar, sasa Lipumba atemwa na kanda 6 Bara 

HABARI

CCM inajiandalia kiama chake yenyewe

CHAMA CHA MAPINDUZI kinachotawala nchini Tanzania ni muunganiko wa vyama viwili vya siasa: TANU  kwa upande wa Tanzania Bara na ASP kwa upande wa Zanzibar. Kwa hapa nataka niiangalie CCM ya upande wa Tanzania Bara, nikihusisha na mzazi wake kwa upande huo, TANU.   Tunakumbuka kwamba TANU ndiyo iliyosimamia harakati za kudai uhuru wa Tanganyika… Continue reading CCM inajiandalia kiama chake yenyewe

HABARI

Ujenzi wa reli ya Dar – Moro sasa rasmi

Shirika Hodhi la Rasilimali za Reli la Tanzania Bara (RAHCO) limetangaza kukamilika kwa malipo ya awali ya ujenzi wa reli mpya ya umeme ambayo itaanzia Dar es Salaam hadi Morogoro. Akiongea na wanahabari hapo jana, Mkurugenzi Mtendaji RAHCO, Masanja Kadogosa, alisema mradi huo unatarajiwa kugharimu zaidi dola za Marekani bilioni 1.2 hadi kukamilika kwake ambapo… Continue reading Ujenzi wa reli ya Dar – Moro sasa rasmi