UTAMADUNI

Uchawi unatibika

Uchawi si jambo kubwa sana kama ambavyo wengine wanalichukulia. Pindi unapokusibu una tiba yake, na pia kama yalivyo maradhi mengine, pia una kinga yake. Msikilize Sheikh Sultan Al Mendhry kwenye mfululizo huu wa Tiba ya Endelea