HABARI

‘Lolote lisilotokea kwengineko, hutokea Z’bar’

Kwa jicho langu la kisanii natamani sana kadhia ya Uchaguzi wa Marejeo niitungie hadithi fupi. Naamini itakuwa tamu sana na hapana shaka mhusika wake mkuu atakuwa ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salum Jecha. Ni mkasa ambao kama haukutungiwa hadithi kiasi chochote cha kuelezewa katika mfululilizo wa makala za magazetini, hakitatosha… Continue reading ‘Lolote lisilotokea kwengineko, hutokea Z’bar’

HABARI

ACT wawakamata ‘wachawi’ wao Zanzibar

Chama cha ACT Wazalendo kimewasimamisha uwanachama viongozi wake wawili wa ngazi za juu visiwani Zanzibar, akiwemo aliyekuwa mgombea wake wa urais wa Zanzibar katika uchaguzi wa Oktoba 25, kwa kile kinachosema ni kupingana na msimamo wa chama kwa maslahi yao binafsi, baada ya viongozi hao kuiandikia barua Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kutaka kushiriki… Continue reading ACT wawakamata ‘wachawi’ wao Zanzibar

HABARI

Tumekusikia Dk. Magufuli, lakini….

Mwishoni mwa wiki ilopita Rais wa Jamhuri ya Muungano alihutubia Wazee wa Dar es Salaam kuadhimisha siku 100 za sijui uongozi au utawala wake na kutoa matamshi juu ya hali inavyoendela kutokota huku Zanzibar. Pengine kwa kimya kilichopo kauli ile inanekana kama imepokelewa na imepita lakini sisi tunaoijua Zanzibar na siasa zake ajue atakuja kukumbushwa… Continue reading Tumekusikia Dk. Magufuli, lakini….

HABARI

Kofia tatu za Jaji Ramadhani zinazoweza kuivuusha Zanzibar

Ni zaidi ya mwezi wa tatu sasa tangu kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar uliofanyika 25 Oktoba mwaka jana, tukio ambalo limevitia visiwa vyetu kwenye mtihani na wasiwasi mkubwa kuwahi kabisa kutokea. Hii ni kwa kuwa, kwa bahati mbaya sana, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salum Jecha, alitangaza kuufuta uchaguzi huo… Continue reading Kofia tatu za Jaji Ramadhani zinazoweza kuivuusha Zanzibar

HABARI

Umoja wa Ulaya wamgomea Magufuli

Umoja wa Ulaya (EU), umemgomea Rais Dk. John Magufuli, kwa kueleza kuwa msimamo wake ni uliotolewa na washirika wa jumuiya ya kimataifa wa kumtaka kushirikiana na vyama vilivyoshiriki uchaguzi mkuu visiwani Zanzibar kufikia muafaka. Akijibu swali la Nipashe kutaka kujua walivyopokea ombi la Rais kwa jumuiya za kimataifa kuzungumza na CUF, ili wakubali kushiriki uchaguzi… Continue reading Umoja wa Ulaya wamgomea Magufuli