SIASA

Mbowe asema wananchi wanataka kulipiza kisasi, lakini anawazuwia

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kuwa wananchi wanaushinikiza uongozi wa chama hicho kuwaruhusu kutumia njia zao wenyewe kujilinda na kulipiza kisasi dhidi ya mauaji na mateso yanayofanywa kwao kutokana na sababu za kisiasa, lakini yeye na viongozi wenzake wanawazuwia kwa kuwa wanaamini kwenye ustaarabu na kuheshimiana. https://www.youtube.com/watch?v=l9uQHEiz_uk  

AFRIKA

Uamuzi wa Mahakama ya Juu Kenya ufuatiwe na marekebisho

Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya DW, Andrea Schmidt, anasema baada ya Mahakama ya Juu ya Kenya kuufuta uchaguzi na kuamuru mwengine, sasa ni wakati wa Kenya kuendelea kuonesha njia kwa kuheshimu maamuzi hayo na kurekebisha. Huu ni ushindi wa wazi kwa demokrasia barani Afrika. Kwa mara ya kwanza Mahakama ya Juu nchini Kenya imeyatangaza… Continue reading Uamuzi wa Mahakama ya Juu Kenya ufuatiwe na marekebisho