Zaima Media Network

Zaima Media Network

We Reach You. TUNAKUFIKIA

  • ZAIMA SHERIA
  • TIBA
  • BUR’DAAN
  • HABARI
  • KOLAMU
  • ZAIMA KAULI
  • ZAIMA SHERIA
  • ZAIMA SPECIALS
  • AJENDA YA ZANZIBAR
News Ticker
  • [ February 20, 2019 ] Nyerere hakuwa na insafu juu ya Muungano UCHAMBUZI
  • [ February 18, 2019 ] Wazanzibari wapaswa kuyaelewa maradhi ya moyo UCHAMBUZI
  • [ February 5, 2019 ] Happy Birthday CCM! UCHAMBUZI
  • [ January 31, 2019 ] Vyombo vya Usalama vyalaumiwa uvunjaji haki za binaadamu HABARI
  • [ January 25, 2019 ] Sheikh Karume angeshauvunja Muungano AJENDA YA ZANZIBAR
Homeuchumi

uchumi

AJENDA YA ZANZIBAR

SMT haiwezi kukubali Akaunti ya Fedha ya Muungano hata siku moja – Juma Duni

April 25, 2018 Zanzibar Daima 0

Wakati wabunge wa upinzani kutoka Zanzibar wakiendelea kushikilia ulazima wa kuheshimiwa kwa matakwa ya kikatiba ya kuundwa haraka kwa Akaunti ya Pamoja ya Fedha baina ya Tanzania Bara (Tanganyika) na Zanzibar, mtaalamu wa uchumi na Endelea

JAMII

Nguzo ya tano ya mitaji ya mafanikio ni maarifa na elimu

August 15, 2017 Zanzibar Daima 0

“Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa…” (Hosea 4:6), ndivyo Mungu anavyosikitika na kutoa sababu ya watu wetu kuangamizwa kuwa ni ukosefu wa maarifa. Tunalalamika kuwa tu maskini, lakini hapohapo tena tunajidai kuwa tuna utajiri wa Endelea

JAMII

Ndani ya mwani, muna fursa kubwa ikiwa Zanzibar itajipanga

August 9, 2017 Zanzibar Daima 0

Licha ya Zanzibar kutajwa kuwa nchi ya tatu duniani kwa kuzalisha mwani kwa wingi na wenye kiwango kizuri, bado wakulima wanalalamika kutofaidika vya kutosha kwa kilimo hicho. Wakulima wa mwani ambao ni zaidi ya 20,000 Endelea

JAMII

Nguzo ya nne ya mitaji ya mafanikio ni rasilimali asilia

August 8, 2017 Zanzibar Daima 0

Hadi sasa, kwa msomaji anayefuatilia mfululizo wa uchambuzi wangu wa nguzo za mitaji halisi ya kutufanikisha katika maisha, atakuwa amegundua kuwa kumbe ni kweli kwamba fedha si mtaji, bali ni matokeo au mapato yatokanayo na Endelea

JAMII

Nguzo ya tatu ya mitaji ya mafanikio ni vipaji

August 8, 2017 Zanzibar Daima 0

Kila mtu aliyezaliwa hapa duniani anacho kitu pekee alichojaaliwa nacho. Si umbile lake, elimu yake, umaarufu wake, usomi wake, cheo chake katika jamii, au utajiri wake wa vitu na fedha; la hasha, ni kipaji chake. Endelea

KOLAMU

Ndiyo kwa ‘uchumagu’, hapana kwa ‘umagukrasia’

July 5, 2017 Zanzibar Daima 0

Kitu kimojawapo ambacho Rais John Magufuli anajipambanuwa nacho kwa haraka na watangulizi wake, ni tabia yake ya kutokuwa na ajizi na vile kutozingatia kwake mipaka kwenye huko kutokuwa na ajizi. Hayo ni kwa kila alisemalo Endelea

  • UCHAMBUZI

    Nyerere hakuwa na insafu juu ya Muungano

    February 20, 2019 0
    MARA ya mwanzo kabisa kukutana na Mwalimu Julius Nyerere, uso na macho, ilikuwa 1968 jijini London ndani ya ukumbi mmoja wa hoteli iitwayo Hyde Park Hotel.  Hoteli hiyo iko mkabala wa uwanja wa Hyde Park na Endelea
  • UCHAMBUZI

    Wazanzibari wapaswa kuyaelewa maradhi ya moyo

    February 18, 2019 0
    Upo msemo wa Kiswahili usemao “Ukitaka kumuua paka anza kwa kumpa jina baya”, ambao huelezea namna watu wanavyoharamisha au kuhalalisha jambo kwa kuanza na kukivunjia hadhi yake. Wagonjwa wa maradhi ya moyo hasa watoto hapa Endelea
  • UCHAMBUZI

    Happy Birthday CCM!

    February 5, 2019 0
    Imenichukuwa dakika tano tu hivi hadi kuwaza niandike nini kama sehemu ya zawadi kwa chama changu na marafiki zangu wa chama cha Mapinduzi CCM! Nimeona ni kheri kuandika kwa sababu si wote wenye uwezo wa Endelea
  • HABARI

    Vyombo vya Usalama vyalaumiwa uvunjaji haki za binaadamu

    January 31, 2019 0

    Mkoa wa Dar es Salaam ndio unaoongoza kwa uvunjifu wa haki za waandishi. Mikoa mingine inayoonekana kinara wa ukiukwaji huo ni Kigoma, Mtwara, Tanga, Singida, Shinyanga na Njombe. Endelea

My Tweets
  • Congo yathibitisha mripuko mpya wa Ebola

    May 9, 2018 0
    Serekali ya Congo imetangaza mripuko mpya wa ugonjwa wa Ebola baada ya kuthibitishwa watu wawili kukutwa na virusi ya ugonjwa huo na takribani 17 kufariki Kaskazini-Magharibi mwa taifa hilo. “Nchi yetu imekumbwa na mripuko wa Endelea
  • Mbowe na wenzake wafutiwa dhamana, wasubiri kupandishwa kizimbani

    March 27, 2018 0
    Viongozi sita wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akiwamo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe wamefutiwa dhamana na kuwekwa mahabusu katika Kituo Kikuu cha Polisi (Central), jijini Dar es Salaam. Pamoja na Mbowe, viongozi Endelea
Tufuate kwa barua pepe

Weka anwani yako ya barua-pepe.

Join 11,204 other subscribers

Tuwasiliane
Khelef Nassor Rashid
P.O.BOX 4194
Zanzibar
+255772274011/+255718920331
office@zanzibardaima.net
Jumatatu - Ijumaa
10:00 Hrs - 17:00 Hrs

Zaima Media Network