MCHAMBUZI MAALUM, SIASA

JPM ameshinda walau kwa sasa

“LINI?”  Ni swali nililojiuliza, mara kwa mara, tangu Januari 8 mwaka jana kila nilipomsikia Edward Lowassa akitajwa.  Januari 8, 2018, ndiyo siku Lowassa alipopokewa rasmi Ikulu na Rais John Pombe Magufuli. Baadaye Lowassa alisema alifurahishwa mno na mkutano wao, kwamba walizungumza mengi na alimpongeza Rais “kwa kazi nzuri anayofanya”.  Mkutano huo baina ya Rais ambaye pia ni mwenyekiti… Continue reading JPM ameshinda walau kwa sasa

HABARI

Anayemuamini Profesa Lipumba anajidharau

ANAITWA Ibrahim Haruna Lipumba. Ni mwanasiasa. Kupitia kazi hii adhimu ya siasa, anajulikana vema kuwa mmoja wa wagombea maarufu wa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tangu siasa za vyama vingi ziliporudishwa katika jamhuri mwaka 1992. Amegombea nafasi hiyo mara nne – 1995, 2000, 2005 na 2010. Na mara zote akiwa ameteuliwa… Continue reading Anayemuamini Profesa Lipumba anajidharau