HABARI

Bunge lahitaji muafaka wa kitaifa

Licha ya Naibu Spika, Dkt. Tulia Akson, spika kuwatishia wabunge wa upinzani, ambao wamekuwa na kawaida ya kujisajili na baadaye kutoka kila siku ambayo bunge linaongozwa na yeye, inaonesha dhahiri kwamba wabunge hao hawapo bungeni kwa kufuata posho pekee. Leo tarehe 14 Juni 2016, wabunge hao wamedhihirisha tena kwamba kwao posho sio kitu cha msingi,… Continue reading Bunge lahitaji muafaka wa kitaifa

MCHAMBUZI MAALUM

CCM mpigo ni uleule, nje na ndani ya chama

KUNA moja tu litaloweza kukinusuru Chama cha Mapinduzi (CCM) kisiporomoke katika Uchaguzi Mkuu ujao: upinzani uliogawika na unaopigana wenyewe kwa wenyewe badala ya kujumlisha nguvu zao pamoja dhidi ya hasimu yao mkuu. Kuna uwezekano mkubwa kwamba kisipojiangalia na kujirudi kwa haraka, CCM kinaweza hata kikapasuka na kugawika. Ni upinzani ulio dhaifu usiosimama kama kitu kimoja… Continue reading CCM mpigo ni uleule, nje na ndani ya chama