HABARI

Nje ya umoja wa kitaifa na maridhiano, Zanzibar itaendelea kudhalilika

  Kwa kutumia ghiliba ya mtazamo hasi wa kihistoria, kundi la wanasiasa ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) waliikaba pumzi dhana nzima ya umoja wa kitaifa na maridhiano ya Wazanzibari.¬†Hawa walikuwa hawakuyaridhia maridhiano haya tangu kwenye siku zake za awali pale Novemba 2009 yalipoasisiwa na aliyekuwa kiongozi wa Zanzibar na wa chama chao kwa wakati… Continue reading Nje ya umoja wa kitaifa na maridhiano, Zanzibar itaendelea kudhalilika