HABARI

Uzanzibari na utaifa wa ncha tatu

Anuani ya mjadala huu inalazimika kuwa refu kutokana na haja iliyopo ya kufafanua na kuweka wazi utata uliopo katika jamii na siasa za Zanzibar ambazo zimefanywa kuwa na utamaduni wa kuakisi utata huo. Mchanganyiko na au muingiliano wa kijamii wa watu wa visiwa vya Zanzibar ni matokeo ya hali yake ya kieneo, ambapo pepo za… Continue reading Uzanzibari na utaifa wa ncha tatu