HABARI

Ngeleja, shujaa au fisadi aliyeogopa?

Makala hii imeandikwa na Julius Mtatiro, mchambuzi wa masuala ya kisiasa na Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF) kwenye ukurasa wake wa Facebook ikiwa na kichwa cha habari "William Ngeleja, shujaa wangu!" Zanzibar Daima inaichapisha tena hapa ikiwa na kichwa cha habari kipya, kwani mhariri ameona kuwa ndani ya makala yenyewe… Continue reading Ngeleja, shujaa au fisadi aliyeogopa?