HABARI

Zaidi ya Watanzania 380 watajwa ‘kupotezwa’ kusini

Juni 12, 2017 mchana, Bi Ziada Salum wa Kitongoji cha Maparoni wilayani Kibiti alikuwa nyumbani kwake akipika chakula cha familia yake, wakati ambao Jeshi la Polisi lilifika na kumchukua kwaajili ya kwenda kumhoji. Ni miezi 11 leo tangu bi Ziada Salum achukuliwe, hajarudishwa mpaka leo, familia yake haijaarifiwa chochote, bado imekaa na matarijio kuwa ipo… Continue reading Zaidi ya Watanzania 380 watajwa ‘kupotezwa’ kusini

HABARI

Trilioni 1.5 zapotea, TRA yadanganya makusanyo ya trilioni 2.2 – Zitto Kabwe

Kiongozi wa chama cha upinzani cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema kwa mujibu wa ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali, CAG Mussa Assad, serikali kuu imepata hati chafu ikiwa imetumia mabilioni ya fedha kinyume na utaratibu, huku taifa likipoteza shilingi trilioni 1.5 na Mamlaka ya Mapato (TRA) ikiwa imepindisha ukweli kuhusu makusanyo ya shilingi trilioni… Continue reading Trilioni 1.5 zapotea, TRA yadanganya makusanyo ya trilioni 2.2 – Zitto Kabwe

HABARI

Zitto aitetea Mawio

Muda mchache baada ya serikali ya Rais John Magufuli kulifungia gazeti huru la Mawio kwa tuhuma za kuandika habari ha kuwahusisha marais wastaafu na kashfa ya mikataba ovyo ya madini, mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amekuwa wa kwanza kulitetea gazeti hilo na kuitaka serikali kulifungulia haraka.  Akiandika… Continue reading Zitto aitetea Mawio

HABARI

Zitto ataka bunge kuchunguza mauaji ya Kibiti

Wakati hali ya wasiwasi ikizidi kuendelea kwenye wilaya za Kilwa, Mkuranga, Kibiti na Rufiji, ambako mauaji ya kunyemelea yameshaangamiza maisha ya watu wapatao 30, wakiwemo wenyeviti 20 wa serikali za vijiji na mitaa, Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, ametoa wito wa kutumwa kwa Kamati ya Usalama ya Bunge kuchunguza mauaji hayo. Akiandika kwenye ukurasa… Continue reading Zitto ataka bunge kuchunguza mauaji ya Kibiti

HABARI

Hatuwi muhuri wa kuwasafisha wabakaji wa demokrasia – ACT Wazalendo

Licha ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salum Jecha, kujitokeza tena akisisitiza kuwa hakuna chama wala mgombea hata mmoja aliyefuata masharti yanayotakiwa kuweza kujitoa kwenye uchaguzi wa marudio unaotazamiwa kufanyika tarehe 20 Machi visiwani humo na hivyo ni wagombea halali kwenye uchaguzi huo, chama cha ACT-Wazalendo nacho kimejitokeza tena kushikilia msimamo… Continue reading Hatuwi muhuri wa kuwasafisha wabakaji wa demokrasia – ACT Wazalendo