twapishana kama madau

twapishana kama madau

Twapishana kama madau, salamu hatupeani. Msemo wa Kiswahili unaoashiria kiwango cha juu cha uhasama kati ya watu lakini ambacho hakijafikia kwenye mapigano. Naipenda lugha yangu.

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.