ukatili-dhidi-ya-wazanzibari

ukatili-dhidi-ya-wazanzibari

La kulisema halipo, la kulifanya sinalo. Lakini dhamira yanisukuma, kuna siku yatakwisha. Heshima yangu itarudi na utu wangu utatambuliwa. Yalinipata kwa sababu ya Uzanzibari wangu, yataondoka kwa sababu ya Uzanzibari wangu. Ewe Mungu niongoze njia!

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.